Pop-Up Dinners

Kuvijua vyakula vitamu vya mapishi ya kimataifa na kuwafahamu watu wengine

Kwa Pop-Up Dinners zetu tunawakaribisha watu wote wanaopenda kupika na kujua mambo mapya, ili tupike pamoja na team zetu tofauti tofauti vyakula vitamu kutoka nchi mbali mbali za asilia. Sote pamoja tunashirikiana kwenye bafe kubwa kutoka nchi mbali mbali au kwenye mlo uliopangwa, tunafundishana mapishi mapya na kuvitumia viungo vipya au vigeni, tunakula na kusherekea pamoja.

MIADI 2017
26.Februar, 8. März, 28. April, 23. Juni
Muda na mahali pa kuonana zitatangazwa kwa njia ya facebook au kwa kutuuliza.

Mawasiliano:

leonora@zusammenessen.de

 rudi